You are: Home > Al - Wadiah

AL-WADIAH

Akaunti ya Al-Wadiah

Ni mkataba  (Akd) baina ya wenye kutaka kuhifadhiwa fedha (mteja) na wenye kuhifadhi fedha (Benki) kwa madhumuni ya mteja kuhifadhi fedha zake kwa usalama zaidi.
Katika mkataba wa Al-WAdiah Benki ya Kiislamu ya PBZ kwa upande mmoja inakubali

Mteja alieweka fedha katika Benki ya Kiislamu ya PBZ kwa upande wa pili anakubali:

Aina za Akaunti za Al-Wadiah

Mteja anaweza kuweka fedha zake katika Benki ya Kiislamu ya PBZ kwenye Akaunti  ya Al-Wadiah aidha katika:

Sifa na faida ya Akaunti ya Akiba ya Al-Wadiah

Sifa na faida ya Akaunti ya Hundi ya Al-Wadiah

Walengwa
Huduma hii ni kwa ajili ya

 

 

 

PBZ ISLAMIC BANKING
 
TUKO MTWARA