You are: Home > Al-Mudharabah

AL-MUDHARABAH

Akaunti ya Al-Mudharabah

Ni mkataba wa kibiashara wa kugawana faida baina ya mtoaji fedha/mtaji  (Rabbul Mal) na anaepokea fedha (Mudharib) ambae ndiye anayefanya biashara. Katika mkataba wa Mudharabah, mteja anayeweka  fedha benki ndiye anakuwa mtoaji wa mtaji na Benki ya Kiislamu ya PBZ ambayo inayopokea fedha za mteja na  kuzifanyia biashara inakuwa mjasiriamali kwa upande wa pili.
Makubaliano haya yanawezesha Mteja wa Benki ya Kiislamu ya PBZ kuingia ubia katika kufanya biashara na faida inayopatika inagawanywa baina ya benki na mteja katika kiwango wanachokubalina kabla.

Akauti ya Al-Mudharabaha inamuwezesha mteja

Aina za Akaunti ya Al-Mudharabah

Mteja anaweza kuweka fedha zake katika Benki ya Kiislamu ya PBZ kwenye Akauti ya Al-Mudharabah zifuatazo

Sifa na faida ya Akaunti ya Akiba ya Al-Mudharabah

Sifa na faida ya Akaunti ya Hundi ya Al-Mudharabah

Sifa na faida ya Akaunti ya Muda Maalumu ya A-Mudharabah

Walengwa


 

 

PBZ ISLAMIC BANKING
 
TUKO MTWARA