You are: Home

WELCOME TO PBZ IKHLAS

Benki ya Kiislamu ya PBZ inaamini kuwa huduma inazotoa ambazo zinaenda na misingi ya Sharia ya Kiislamu ni kwa ajili ya watu wote waislamu na wasiokua waislamu. Hali hii inapelekea kuendelea kuanzishwa kwa huduma nyingine zenye kuleta ushindani wa kutoa huduma bora kwa wananchi.

Benki ya Kiislamu ya PBZ inasaidia katika kujenga na kukuza maadili ya jamii, kukuza ushirikiano wa jamii, na kujenga utawala bora kwa kutoa huduma bila kujali itikadi/imani za kidini. Kwa sasa Benki ya Kiislamu ya PBZ ina matawi matatu katika maeneo ya Ungujua, Pemba na Dar es Salaam.

 
 

PBZ ISLAMIC BANKING
 
TUKO MTWARA